
I. UTANGULIZI
Bawasiri ni ugonjwa ambao unatokana na kuathirika kwa mishipa ya sehemu ya ndani na nje ya tundu la haja kubwa na wakati mwingine kutoa damu wakati wa kutoa haja kubwa. Ugonjwa huu unasababisha muwasho na maumivu makali katika tundu la haja kubwa.
Mara nyingi tatizo hili huwapata watu kuanzia umri wa miaka 30 – 70.
Kuna aina mbili za bawasili:
- Bawasiri ya Ndani: Hiki nikinyama kinachootea ndani kabra hakijatokea njee.
- Bawasiri ya Nje: Hiki nikinyama au kivimbe kinatokea njee baada yakutokea ndani. Kinatokea njee kwawalio athirika, na ukikaa muda mrefu nahuu ugonjwa unajikogotea matatizo ya kiafya ambayo siyo rahisi kukabiriana nayo, na maranyingi ugonjwa huu unasababisha vifo vya gafla.
II. CHANZO CHA UGONJWA WA BAWASIRI
Bawasiri ni tatizo linaloanzia kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula. Huu mfumo ukishakua mbovu unakuperekea kutokupata cho vizuli.
Mfumo mbovu wa mmeng'enyo wa chakula unasababisha chakula kisimeng'enywe vizuri kwenye utumbo mdogo na hivyo kupelekea chakula kupiliza kwenda moja kwa moja kama kilivyo kwenda kwenye utumbo mkubwa ambapo maji maji kutoka kwenye chakula hufyonzwa na kuacha chakula kikiwa kikavu.Inapofikia wakati wa kupata choo; choo kinakua kikavu hivyo unatumia nguvu nyingi kukisukuma choo kitoke. Sasa kitendo hicho kinapelekea misuli ya haja kubwa kutanuka na kupelekea kukwanguliwa na choo kigumu na hivyo kinyama kuanza kujitengeneza, na hapo ndipo utaanza kusikia maumivu na miwasho kwa ndani, na mara nyingine kupata choo chenye damu.Kadri unavyoendelea kupata choo kigumu misuli inaendelea kukwanguliwa na kinyama kuongezeka mpaka kinatokezea nje na hicho kinyama kinaitwa Bawasiri (Hemorrhoids).Mtu anastahili kupata choo kulingana na milo anayetumie kila siku. Mtu mwenye afya nzuri anapata choo kulingana na milo aliopata kwa siku. Kama unauwezo wakupata milo mitatu kwa siku, unasitahili kupata choo mara tatu kwa siku, tena choo chako kitoke na urefu sawa wa ndizi mbivu, bila kujikatakata kama kile cha mbuzi.
Hivi ni baadhi ya vitu vingine vinaperekea mtu kupatwa na ugonjwa wa bawasili.
- Kufanya mapenzi kinyume na maumbile·
- Kuharisha kwa mda mrefu·
- Tatizo la kutopata choo laini au kujisaidia kinyesi kigumu,·
- Kinyesi cha kujikatakata kama kile cha mbuzi·
- Tatizo la umri mkubwa·
- Uzito kupita kiasi (Uzito uliopindukia)
- Matumizi ya vyoo vya kukaa au vya kuchangia
III. DALILI ZA UGONJWA WA BAWASIRI – CHUKUA TAHADHARI MAPEMA
- Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa. Huu muasho unakuja kwa kujirudia mara kwa mara baada ya muda furani.
- Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa. Huu muasho unakuja kwa kujirudia mara kwa mara baada ya muda furani.
Somo ni zuri, Ahsante
ReplyDeleteSomo muhimu sana wengi hawana Elim hii, wengine tunaishia kumeza dawa za kuharisha kumbe tunaongeza tatizo. Asante sana
ReplyDelete