AFYA YA UZAZI WA MWANAUME - MAINTAIN YOUR HEALTH

Trending

Saturday, November 4, 2017

AFYA YA UZAZI WA MWANAUME



  1. Utangulizi
Familia nyingi zina changamoto ya mfumo wa uzazi. Leo hii tunaenda kuzungumzia mfumo mzima wa uzazi wa mwanaume hususani: "Upungufu wa nguvu za kiume"Takwimu za afya zinaonesha kati ya wanaume 10 miongoni mwao 7 wana tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Tatizo hili linazidi kuongezeka kwa kasi kubwa, na linawakumba sana watu wazima kuanzia umri wa miaka 35 – 75+. 
Kuna aina 3 za upungufu wa nguvu za kiume:
-       Shahawa (sperms) hazina uwezo wa kutunga mimba.
-   Ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa. Ikitokea umepata hamu hata kidogo shahawa zinawahi kutoka. Wengine wanapata hamu ya tendo la ndoa lakini hawatoi shahawa.
-       Uume kutosimama (mashoga)

  1. Chanzo cha matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume
Upungufu wa nguvu za kiume sio ugonjwa, ila ni kama indicator inayoonesha kwamba kuna baadhi ya viungo ndani ya mwili wa binadamu ambavyo vinahusika na suala zima la nguvu za kiume havifanyi kazi vizuri. Baadhi ya hivyo viungo vinavyo husika na nguvu za kiume ni: Moyo, Ini, Figo, Ubongo, Mishipa, Tezi dume, Misuli, .. … … n.k. Kunapo kuwa na hitilafu kwenye viungo hivi ndiyo vinapelekea moja kwa moja mtu kupata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Hivi ni baadhi ya vitu vinavyo sababisha viungo tulivyo taja hapo juu kutofanya kazi vizuri na baadae kusababisha matatizo mbali mbali ikiwemo vifo. 
Kuwa makini na vitu vifuatavyo:
-       Uvutaji wa sigara, na utumiaji wa dawa za kulevya
-       Pombe (aina yeyote).
-       Masturbation (Kujichua, au kupiga punyeto)
-   Kula vyakula venye kuharibu mfumo wetu wa mmeng’enyo wa chakula (Digestive System). Huu mfumo ukiharibika unasababisha damu kutosafirishwa vizuri mwilini.
-       Uzito mkubwa au kitambi
-       Tatizo la Kutokupata choo vizuri (Constipation)
-       Tatizo la Tezi dume
-       Matatizo ya moyo
-       Kisukari (Diabetes)
-       Stress, Pressure, Chorestrol
-       Hormony imbalanced
-       Kukaa kwa muda mrefu
-       Kutumia sana madawa yenye kemikali (Hospital). Hapa unatakiwa kuwa makini na kukumbuka kwamba mili yetu haijaumbwa kwajili ya madawa ya kikemikali. Mili yetu iliumbwa ili iweze kujitengenezea kinga kupitia vyakula tunavyo kula vyenye lishe na virutubisho; siyo madawa ya kikemikali au mitishamba. Tunaenda hospitalini kwasababu hakuna njia mbadala. Kama wewe unahitaji kuwa na afya bora na ujiepushe na magonjwa mbali mbali, unashauriwa kujenga utaratibu wa kupatia mwili wako lishe kamili na virutubisho muhimu.


  1. Dalili za upungufu wa nguvu za kiume  
Na tunapo ongelea suala la upungufu wa nguvu za kiume tunamaanisha:
-       kukosa hamu ya tendo la ndoa
-       Kukosa pumzi 
-       Uwezo wa kushindwa kurudia tendo la ndoa
-       Uume kusimama kwa ulegevu
-       Kuwahi kufika kileleni
-     Kuchelewa sana kufika kileleni: ukizidi kuchelewa mwenzako anapata maumivu makali sana na kuanza kujuta japo hatakwambia kwa sababu ni aibu kwake; na wewe pia hutofurahiya tendo la ndoa. Utaathirika kisaikolojia kwa njia moja au nyingine
-       Kuchoka sana baada ya tendo au kujisikia kichefuchefu, wakati mwingine wengi hua wanajihiisi kutapika.


  1. Madhara ya Upungufu wa nguvu za kiume
Kabla hatujaenda kutiririka baadhi ya madhara yanayotokana na upungufu wa nguvu za kiume, kuna kitu muhimu sana kwa wanandoa au wapenzi wanastahili kukijua. Mwanamke ni kiumbe cha ajabu sana na aliumbwa na uwezo wakuweza kukojoa zaidi ya mara 5, endapo wewe utaweka sawa afya yako na kujuwa ni vitu gani unastahili kufahamu. Ili mwanamke akojoe kwa mshindo wa kwanza ni lazima uume wako uweze kusimama angalau dakika 5 – 10 ukiwa unachezesha uume wako kwenye mashavu ya uke. 
Wanawake wanapenda sana kuchezewa kwenye mashavu ya uke kwa kutumia uume, siyo vinginevyo. Wanaume wengi wanashindwa kuwaridhisha wenzao kwasababu ya upungufu wa nguvu zao za kiume unawapelekea kutumia zingine nondo mbali mbali ili angalau waweze kuwaridhisha wenzao. Ukweli thabiti ni huu: endapo unakuwa na afya nzuri ya mfumo wa uzazi, utaweza kusimamisha uume wako na kumridhisha kiurahisi bila kutumia nguvu nyingi kwa kila mshindo. Hivyo basi usihangaike kwenda kwa waganga (kalumanzira), mashekhe, makanisani kuombewa, kwasababu suala zima ni kwamba unajali vipi afya yako?

Mfumo wako wa uzazi ukiwa haufanyi kazi vizuri, utapata madhara yafuatayo:
-       Dharau
-       Kushindwa kumridhisha mwanamke. Hili tatizo linampelekea kutoka nje ya ndoa na baadae kuachika
-       Kushindwa kupata mtoto
-       Kushindwa kupata ladha kamili la tendo la ndoa
-       Kuchoka haraka wakati wa tendo la ndoa
-       Uume kusimama kwa ulegevu
-       Fujo kila kukicha. Shida hamzitatuwi kama watu wazima, na maranyingi hamuelewani hata kidogo. Wengine wanaenda kwa waganga, makanisani na kwa mashekhe ili wapate suluhisho la ndoa zao.
-     Kutoka nje ya ndoa (jinsia zote). Vitu unavyoenda kutafuta havieleweki, havina msingi; bali unakaribisha matatizo juu ya mengine.
-    Ndoa kusambaratika, na kurandaranda kila sehemu. Unajishushia heshima mwenyewe bila kujitambuwa.
-       Uume kusinyaa na kupoteza ubora na ukakamavu


  1. Suluhisho thabiti na lakudumu




Mili yetu ni sawa na kiwanda. Kiwandani kuna vitu vingi sana: kuna mashine, wafanyakazi, umeme, maji, ... … n.k; kinapokosekana kimoja kati ya hivyo kiwanda hakiwezi kufanya kazi vizuri. Ndivyo vivyo kwenye mili yetu tukija kwenye upande wa nguvu za kiume. Nguvu za kiume ni kama kiwanda.

Kwa watu wenye changamoto hii ya upungufu wa nguvu za kiume, kampuni tumewaandalia program ya lishe kamili na virutubisho muhimu. Bidhaa hizi ni vyakula, siyo dawa wala mitishamba. Zimetengenezwa kutoka kwenye vyakula ambavyo tungefaa kula kila siku, na vina lishe kamili na virutubisho muhimu katika mili yetu inavyo hitaji ili iweze kutengeneza yenyewe afya bora na nadhifu. 
Hizo bidhaa zina mchanganyiko wa vitu vifuatavyo: Proteins, Vitamins, Minerals, Essential Fat Acid and Trace minerals.

Kwa yeyote anayehitaji hii program ya kuboresha na kuimarisha afya yake ya mfumo mzima wa uzazi, awasiliane nasi kwa namba zifuatazo: 


+255 657 461124, +255 738 651373





No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here