TAMBUA MFUMO WA KINGA YA MWILI ZAIDI IMMUNE SYSYTEM(CD4) - MAINTAIN YOUR HEALTH

Trending

Tuesday, February 12, 2019

TAMBUA MFUMO WA KINGA YA MWILI ZAIDI IMMUNE SYSYTEM(CD4)


TAMBUA MFUMO WA KINGA YA MWILI ZAIDI
IMMUNE SYSYTEM(CD4)




                               a)    Mfano wa Kinga ya Mwili

Kama nchi ilivyo na majeshi ya ulinzi na usalama, kwaajili ya kulinda na kusimamia usalama wa Raia na mali zake vivyo hivyo mwili una mfumo wake wa kujilinda. Kinga ya mwili (CD4) ni sawa na askari jeshi wanaolinda nchi yao.
 Wanajeshi wanahakikisha ulinzi, amani na usalama vinapatikana nchi yote ili kila mwananchi apate nguvu ya kufanya kazi na nchi ipate maendeleo. 
Ni jukumu la serekali kuhakikisha wanajeshi hao wanapata nguvu kila siku na vifaa vya vita, ili waweze kupambana na adui kwa njia yeyote.

                                 b)   Ufafanuzi wa Kinga ya Mwili

Ulinzi wa kwanza upo kwenye ngozi na wa pili katika seli nyeupe. Ngozi ni organi ya kwanza kwa ukubwa katika mwili wa binadamu huzuia vimelea vya magonjwa visiingie ndani ya mwili lakini vikiingia mwilini, kinga ya mwili hupambana na vimelea hivyo.
Kazi ya kinga ya mwili ni kuhakikisha kila kiungo kiko salama na kinafanya kazi ipasavyo ili binadamu aweze kuishi maisha marefu yenye afya njema. Mwili hutegemeana hivyo ni rahisi kuwa na ugonjwa zaidi ya mmoja na hii hutokana na kinga ya mwili kudhoofika. Ni jukumu letu sote kuhakikisha kinga yetu ya mwili inauwezo wa kulinda viungo vyetu.
Kinga ya mwili inaweza kuongezeka au kupungua (kudhoofika). Huongezeka kupitia vyakula pia hupungua kupitia mashambulizi dhidi ya maradhi. Maradhi hayo yanatokana na kula vyakula ambavyo siyo sahihi kutokana na jinsi tulivyoumbwa. Tuliumbwa na makundi tofauti ya damu, vivyo hivyo tunatakiwa kula vyakula vinavyoendana na makundi yetu ya damu. Chanzo cha magonjwa yote unayoyajua ambayo siyo ambukizi ni kutokana na vyakula vyetu vya kila siku na mfumo wa maisha tunaoishi.
Vyakula tunavyokula viko aina 3. Kuna vyakula tukivipata vinaongeza kinga ya mwili, vingine vinabaki kuwa kama vyakula tu hatunufaiki chochote, vingine vinakuwa sumu mwilini. Vyakula hivyo husababisha kinga ya mwili kudhoofika, kuharibu mfumo mzima wa mmeng’enyo wa chakula na mzunguko wa damu.

  1. VITU VINAVYOSABABISHA KINGA YA MWILI KUDHOOFU
  1. Ulaji mbaya: Hii ni kwasababu hatupati virutubisho vinavyopatikana kutoka kwenye vyakula. Tunavikosa kwasababu ya ukosefu wa pesa au maarifa…n.k.
  2. Matumizi ya pombe yaliyokithiri: Pombe aina yeyote siyo kitu cha kuleta afya, kama unauwezo wa kuiacha achana nayo; kama huwezi kuacha punguza utumiaji wa pombe, ujiwekee nidhamu mwenyewe na utii.
  3. Kukosa usingizi: Kila binadamu anapaswa kulala masaa kadhaa kulingana na umri wake ili kinga ya mwili izidi kufanya kazi vizuri. Kuanzia miaka 26 – 64, wanastahili kulala masaa yasiopungua 7 – 9. Watu wazima kuanzia umri wa miaka 65 kuendelea wanapaswa kulala masaa yasiopungua 7 – 8.
  4. Kukaa kwa muda mrefu (sitting too long is the new smoking, kills than HIV)
  5. Ukosefu wa mazoezi: mazoezi ni kitu muhimu sana ambacho binadamu yeyote anapaswa kukifanya. Kwakufanya mazoezi kunasaidia kuimarisha kinga ya mwili.
  6. Uvutaji sigara
  7. Upungufu wa chembechembe za damu nyeupe
  8. Msongo wa mawazo, Hasira, Kinyongo, Saratani, HIV
  9. Mfadhaiko wa akili: stress  za mara kwa mara na baadae husababisha madhara kama Kisukari, matatizo ya moyo, kupooza, shinikizo la damu, pumu…n.k
  10. Dawa za hospitali: Hii ni kutokana na kemikali zilizoko ndani ya hizo dawa, baada ya muda zinaathiri kinga ya mwili na utendaji kazi wa kinga.
  11. Matumizi ya njia za Kisasa za uzazi wa mpango
  12. Umri mkubwa: Kadri umri unavyoongezeka na kinga ya mwili inapungua. Kama una umri mkubwa ni vema ukaweka utaratibu au program ya virutubisho kwajili ya kuongeza, kuboresha na kuimarisha kinga ya mwili, ili uishi maisha yenye furaha na afya njema inakupasa ujali afya yako mapema.

                               II.        MADHARA YATOKANAYO NA KUDHOOFU KWA KINGA YA MWILI
Kinga ya mwili inaposhuka mwili huwa katika hatari kubwa sana ya kukabiliana na madhara mbalimbali ikiwemo:

·         Magonjwa nyemelezi: mafua, homa, kifua, malaria…n.k.

·         Urahisi wa Mwili kupata magonjwa yasiyo ambukizi: Mvurugiko wa Homoni, vimbe tumboni, vidonda vya tumbo, mvurugiko wa hedhi, Utasa - Ugumba, Uzito  uliyokithiri, Kitambi na Heshima ya ndoa kupungua kwa wakina baba, Tezi dume, Kisukari, Figo na Ini kushindwa kufanya kazi, matatizo ya mapafu, Maumivu ya viungo, Ugonjwa wa macho,  matatizo ya moyo, kupooza, Pressure, Matatizo ya ngozi na Menaupose, Kuzeeka kabla ya wakati, maumivu ya kichwa, kufunga kwa choo, Bawasiri – Hemorrhoids, Vidonda ndugu (Vidonda visivyopona haraka), malaria sugu, kifua kikuu, mkanda wa jeshi…n.k

·         Urahisi wa Mwili kupata maambukizi ya virusi na bacteria sugu: HIV, Homa ya Ini , Saratani, Alegi, Pumu,…n.k

·         Kujaa kwa sumu mwilini: Sumu zikizidi hupelekea mlipuko wa magonjwa mwilini, na chanzo cha sumu kuzidi mwilini ni kinga ya mwili kudhoofu.  
·         Kufa kwa seli nyeupe katika mwili
·         Mwili kuwa mdhaifu: Kuumwa mara kwa mara.


  1. SULUHISHO KWA WANAOTAFUTA KUBORESHA NA KUIMARISHA KINGA YA MWILI
Kinga ya mwili huwa chini sana kwa watoto wadogo na mama wajawazito
Kinga ya mwili sio kitu cha kuimarisha kwa siku moja, ni swala endelevu, mwili unapambana kila siku ili uhakikishe una afya na usalama. Kinga yako ya mwili ikiwa bora na imara siyo rahisi mwili wako kushambuliwa na virusi, bacteria, fangasi…n.k. Jali kinga ya mwili ndiyo afya na usalama wako. Kinga ya mwili wako ikiwa chini unajiweka kwenye hatari ya kushambuliwa na magonjwa kwa urahisi. Kuumwa mara kwa mara ni dalili ya udhaifu wa kinga ya mwili, hii inamaanisha majeshi ya kulinda mwili yamezidiwa na vimelea vya magonjwa, hapo ndipo dalili za ugonjwa husika huanza kujitokeza.

Ongeza, Boresha, Imarisha Kinga yako ya Mwili

Kuna program ya virutubisho vilivyotengenezwa kutoka kwenye vyakula mbalimbali kwajili ya kuongeza, kuboresha na kuimarisha kinga ya mwili. Lengo letu ni kuhakikisha jamii ina afya njema ili kila binadamu aishi maisha marefu yenye furaha tele.

Program hii itakusaidia
-       Kuzalisha na kuongeza CD4 kwa wingi mwilini
-       Kuboresha na kuimarisha kinga ya mwili
-       Kuongeza misuli, kuupatia mwili nguvu tosha na kukusaidia afya yako isizidi kudhoofika (kupungua ghafla uzito)
-       Kuweka sawa mfumo mzima wa mmeng’enyo wa chakula na mzunguko wa damu
-       Kuongeza damu mwilini
-        kusaidia ubongo kufanya kazi kwa haraka sana akili kutochoka mapema
-       Kuboresha na kuimarisha mfumo wa macho
-       Moyo kufanya kazi vizuri na mzunguko wa damu kuwa sawa
-       Kuzalisha uteute kati ya viungo: kukuepusha kupata maumivu au matatizo ya viungo
-       Kuweka sawa homoni (akina mama): kuwa na mzunguko sawia wa hedhi, mayai kupevuka, kuondoa ukavu ukeni na kutengeneza joto ….n.k.
-       Kurudisha, kuboresha na kuimarisha heshima ya ndoa
-       Kuweka mwili sawa ili ujiepushe na matatizo ya kiafya kama: saratani, kisukari, pressure, ini, ngozi kuharibika, UTI, kupooza, tezi dume, matatizo ya figo….n.k.

 Kwa yeyote anayehitaji hivi virutubisho vya kuboresha na kiumarisha afya yake ya kinga ya mwili awasiliane na kampuni kwa namba zifuatazo:

                                               Tigo:    +255  657   461   124   WhatsApp
                                             TTCL:    +255  738   651   373  
                                            E-mail:     janemlay762@gmail.com


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here